Katika filamu hii, nimeona rais wa Kenya na Amerikani.
Rais wa Marekani Obama inaonekana kuwa alitembelea Kenya.
Alikuwa alizuru Kenya ilipokuwa vijana, lakini hii ni ziara ya kwanza kama rais wa Marekani.
Wakati alipofika Kenya, alishuka kwa furahi.
Sawia watu wa serikali ya Kenya walishangilia yeye.
Halafu, walipiga pambaja.
Ziara la Obama liliwafurahisha wananchi wengi wa Kenya.
Wanajeshi wa Kenya walimhami.
Obama ana shoto.
Kabla ya kuingia ndege ambayo kurudi Amerikani, Obama aligeuka akapunga mkono wake.
Na nimeona mtangazi anayevaa nguo ekundu na ripota.